Google PlusRSS FeedEmail

HATIMAE MARLAW NA BESTA WAFUNGA NDOA

Wasanii 2 Muziki wa Kizazi kipya toka Tanzania ,Lawrence Malima aka Marlaw na Besta Rugeiyamu aka Besta,siku ya jana  Jumamosi ya tarehe 11 March 2011 walifanukiwa kufunga ndoa ama twaweza kusema  kufunga pingu za maisha aka kuoana.
Marlaw na Besta walikua na uhusiano kwa muda mrefu  na kwa sasa mambo yako hadharani, maana  Alhamisi iliyopita kulikua na Kitchen Party ya Besta na Jumamosi pia  wiki iliyopita kulikua na Send Off ya Besta ambapo aliagwa rasmi na familia yake. NDOA NJEMA....KILA LA KHERI!

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging