Google PlusRSS FeedEmail

DRAKE AZUNGUMZIA BUSU LA MADONA
KITENDO KILICHOTOKEA Kwenye tamasha la Coachella cha msanii  mkongwe wa pop Madonna kukutanisaha  midomo yake na rapa mkubwa Drake wakiwa pamoja kwenye jukwa na kukamata attention ya watu wengi. Baada ya busu lao Drake alionekana kushtushwa na jambo hilo na kushika mdomo kitendo ambacho kilitafsiriwa kama ni kutopenda busu la malkia huyo wa pop.

Drake ametumia instagram yake kusema kuwa “Watu wasitafsiri kitendo chake vibaya ila hakutegemea kumbusu madonna ” .

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging