Google PlusRSS FeedEmail

JAY Z NA BEYONCE KUACHIA ALBAMU YA PAMOJA

                        

Miezi michache iliyopita palikuwa na taarifa za Beyoncé na Jay Z kufanya album ya pamoja, kwa mujibu wa DJ Skee, album hii inakaribia kukamilika na itatoka kupitia TIDAL, huduma ya kusikiliza muziki mtandaoni ya Jay Z. service.Kwa sasa kazi nyingi za Jay Z na mke wake Beyonce zitakuwa zinatoka kupitia Tidal kama video mpya ya Jay Z “Glory” na ya Beyoncé “Die With You” .

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging