Google PlusRSS FeedEmail

JOKETI AZAMA KWENYE PENZI ZITO LA SIRIAliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jokati Mwegelo “jojo” amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata

Kupitia bonge moja la show weekend “the playlist” Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo leo” na Ice Prince

“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema Jojo Hata hivyo Jocate hakuwa tayari kumtaja mtu huyo anayemvizia

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging