Google PlusRSS FeedEmail

KANYE WEST AOMUOMBA RADHI PAPARAZI

                          

Kanye West ametekeleza matakwa ya kesi iliyokuwa ikimkabilia ya kumpiga paparazi.Paparazi huyo alimtaka West kukutana naye palepale alipompiga na kumuomba msamaha na kisha salamu.Sasa picha zimeibuka zikionesha mwanamuziki huyo wa mdundo wa kufoka akitabasamu na paparazi aliyemshtaki.....

Mpiga picha wa magazeti ya umbea Daniel Ramos alimshtaki West kwa kumshambulia baada ya kumuuliza kwanini alikuwa anasusia maswali ya waandishi wa habari nje ya uwanja wa Los Angeles..Wakili wake ,Gloria Allred amesema kuwa wawili hao walikutana na West akaomba msamaha.Kanye West ametekeleza matakwa ya kesi iliyokuwa ikimkabilia ya kumpiga paparazi.Hata hivyo vipengee mahsusi ya makubaliano hayo na msamaha hayajabainika.Kwa upande wake wakili anayemwakilisha bwana West ,Shawn Holley, amenyamaza kimya! West, 37, aliomba mahakama imuonee huruma kwa kosa hilo la kumvamia mtu.West anachunguzwa.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging