Google PlusRSS FeedEmail

KILICHOMTOKEA YOUNG THUGWapo kwenye bifu la miezi kadhaa hivi sasa, huku chanzo kikisanua kuwa ni umiliki wa jina cater. Though Thug tayari kabadilisha na kuiita album yake Bater lakini bado fans wa Weezy wanahasira na Rapper huyo.

Last night mzee kigogo young Thug, alikuwa na dili la kupiga show kwenye mji aliokulia bosi wa Young money Lil wyne Southern university Baton Rouge. Unaambiwa ile anapanda stage fans wakaanza kumzoemea, Thug aliwataka mashabiki wasifanye vitendo hivyo akidai anawapenda lakini haikusaidia hali iliyomfanya thug kushindwa kuendelea na show hiyo. Tazama video hapa.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging