Google PlusRSS FeedEmail

KUFANYA KAZI BILA YA MAPUMZIKO NI SEHEMU YA MAFANIKIO?MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Pltanumz amekuwa akifanya kazi usiku kucha bila ya mapumziko (kupata muda wa kulala), hali iliyopelekea kundi la Wasafi linaloongozwa na yeye mwenyewe kuandika ujumbe kupitia ukurasa wa  instagram ukieleza jinsi msanii huyo anavyokesha usiku kucha akirekodi na maproducer tofauti tofauti.

“ Sa 12 asubuhi. Baada ya kuutumia usiku mzika akiwa studio, akapitiwa usingizi mule mule studio Kitu kimoja ambacho hukifaham, Diamond hajawahi kufaidi usingizi wa usiku kwa kulala mapema si kwamba anakawia kulala akiwa anatazama movie, ama anacheza game ama yupo club or bar
Mda mwingi anautumia akiwa studio kama hivi ama akiwa nyumbani basi atakesha akiandika nyimbo tofauti tofauti ndio mana usishangae hadi sasa ana mamia ya nyimbo za kila stayle zipo tu stoo, Then imagine mtu kama huyu. Anavohangikia kazi yake, kwa juhudi zake mwenyewe anatengeneza kazi nzuri, then mtu from no where atake kumshusha hata wengine kumbeza
Na wale wavivu Wa kufikiri kuleta stor za ufriimasoni cjui ndumba TZ tubadilikeni basi tuamini tu kua mafanikio hayaji kwa kutegmea mgongo ama kiki ya MTU mwingine ama kukaa / kufanya starehe tuu ukitegemea kufanya vzuri… badala ya kupiga kelele Basi IGA hata mifano yake hii ya anachokifnya" huo ndio ujimbe uliandikwa na wasafi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging