Google PlusRSS FeedEmail

MADONNA AMPIGA DENA MADONNA



Mwanamuziki mkongwe Madonna amejijengea sifa ya kutokua muoga katika maswala ya ngono wala ya kijamii.

Lakini alichokifanya mwishoni mwa juma liliwaacha wengi vinywa wazi .

Bibi huyo mwenye umri wa miaka 56 alishindwa kustahimili mvuto wa mwanamuziki wa kizazi kipya Drake alipokuwa akimwaga misstari mbele ya mashabiki wake katika onyesho la California Coachella.Madonna ambusu Drake

Malkia huyo wa mziki wa ''POP'' alitua jukwaani Drake alipokuwa akiimba wimbo wake maarufu ''Madonna''ilionekana kama aliyeshikwa na jazba baada ya kushuhudia wimbo wa ''Human Nature'' na ''Hung Up''na akajipata jukwaani akampiga pambaja na kumkumbatia na mara akampiga busu.

Drake hakusema lolote wakati huo lakini alionekana kama aliyeshtuliwa sana na tukio hilo.




                               Drake baada ya kupigwa kubusu na Madonna akiwa haa



Picha zinaonesha alishikwa na kinyaa. Ajabu nikuwa i Madonna alimpokonya kinasa sauti na kusema"mimi ndiye Madonna" na akaondoka jukwaani.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging