Google PlusRSS FeedEmail

MARA BAADA YA KUPASULIWA MGUU WAKE WA KUSHOTO USHER AONEKANA HADHARANI

                                              

Mwanamuziki Usher Raymond amejotokeza kwa mara ya kwanza hadharani baada  ya kufanyiwa upasuaji wa mguu

Usher Raymond afanyiwa upasuaji huo wiki moja iliyopita ambapo upasuaji huo uligharimu dola million sita za kimarekani

usher alionekana katika mitaa ya kitongoji cha Bevery Hills mwanzoni mwa wiki hii akiwa mwenye furaha kubwa

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging