Google PlusRSS FeedEmail

MBWA JIKE MRIMBWENDE
Hii ni kali nyingine mpya imetokea Marekani, juzi kumefanyika mashindano ya kumtafuta mbwa jike mrembo anayevutia zaidi kuliko wengine aina ya wodog.

Taarifa inasema mbwa walitakiwa kukunja sura ili waonekane vizuri

Mwanamama Jainer Grainer ndiye aliyefanikiwa kushinda baada ya mbwa wake kuibuka mrembo zaidi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging