Google PlusRSS FeedEmail

UVUTAJI WA SIGARA WAMUWEKA HATARINI ANGELINA JOLIE

Uvutaji wa sigara wa mara kwa mara kwa mwanamama mkali wa filamu Angelina Jolie huenda zikakatisha maisha yake.

Angel anaonekana kufanya kazi ya bure pale alipoamua kufanyiwa upasuaji wa matiti kuepuka ugonjwa wa kansa huku akiwa anaendelea kuvuta sigara. Kifo cha Mama yake mzazi Bibi Marcheline Bertrand kutokana na ugonjwa wa kansa kilimuogopesha sana Angel alieamua kwenda kufanyiwa upasuaji wa matiti kama njia ya kuepuka ugonjwa huo.

Imeripotiwa nyota huyo wa filamu mbalimbali kama Unbroken na Salt huvuta nusu pakiti ya sigara kwa siku na wala hana mpango wa kuacha kuvuta hivi karibuni, hivyo na kujiweka katika hatari zaidi kupata ugonjwa wa kansa kwani uvutaji wa sigara ni moja kati ya chanzo cha ugonjwa huo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging