Google PlusRSS FeedEmail

WEMA SEPETU AWA MBOGO ATAKA WAMUACHE KAMA ALIVYOInawezekana hali ya kushambuliwa mtandaoni still bado inamsumbua CEO wa Endless fame Wema Sepetu, na inafika time anaspend muda mwingi sana kuwajibu fans ambao wanamshutumu sana kupitia mitandao ya kijamii.

Well kupitia account yake ya instagram mapema leo, Wema Ameandika ujumbe mzito kwa watu wote wanaomtaka avae nguo ndefu kwa maana eti hana miguu mizuri ya kuvalia vimini.Akionyesha ghadhabu zake katika hilo Sepetu amedai miguu yake iachwe kama ilivyo hata kama ni mibaya kiasi gani, haijalishi ina makovu hata michirizi na kwamba mungu ndio alivyomuumba.

“Naomba niseme na nyie mnaojiona miungu watu.. mlitaka nitie nyama kwenye miguu yangu?? Ndiyo ilivyo kuacha kuvaa nguo na kuionyesha siwezi.nitavaa tu ..yani wala siwezi acha …iwe mibaya iwe na makovu na hata michirizi ni ya Wema Sepetu,tuko pamoja eeeeh…mniache na vifimbo vyangu maana ndio mungu alivyonibariki navyo” alimaliza Wema Sepetu.

Madame ameandika hayo, ikiwa ni wiki moja baada ya kuandika tatizo kubwa alilonalo la kutoshika ujauzito.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging