Google PlusRSS FeedEmail

WIZ KHALI FA & AMBER ROSE WALA PASAKA PAMOJA

                       
Rapa Wiz Khalifa na Mtalaka wake Amber Rose ,mwishoni mwa wiki walionekana wakiwa pamoja kusheherekea siku ya pasaka wakiwa pamoja

Wiz Khalifa na Amber Rose walijumuika kwa pamoja na mototo wao,Sebastian huku nyuso zao zikipambwa na tabasamu mwanana

Mara baada ya wawili hao kuonekana wakiwa pamoja mwanamama huyo,Amber Rose  alitupia picha ya Wiz na kuandika maneno yenye tafasiri hii '' anamthamini sana Wiz Khalifa na anaamini ni mwanaume pekee katika maisha yake''

Wiz Khalifa na Amber Rose walitalikiana September Mwaka jana mara baada ya Amber kumfumania mumewe akifanya mapenzi na mabinti mapacha

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging