Google PlusRSS FeedEmail

AKAMATWA NA POLISI KISA MATUMIZI YA KUPITILIZA YA BANGIMwanamuziki anayewakilisha kundi la watukutu Public enermy Flavor Flav, amekamatwa na polisi jana huko Las vergas.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ flavor, amekamatwa na makosa ya DUI, Matumizi ya kupitiliza ya mmea (bangi), mwendo kasi na kutumia leseni iliyokwisha muda wake.

Taarifa zinasema kwamba rapper huyo alikuwa akiendesha gari kwa spidi huko Nevada hali iliyowafanya polisi kuanza kumfatilia.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging