Google PlusRSS FeedEmail

CHRISS BROWN AOMBA RADHISiku kadhaa baada ya kumtisha “model” wa kiume, Tyson Beckford kuwa atamvunja miguu baada ya model huyo kupiga picha na aliyekuwa “demu” wake Karruche Tran, hatimae the RNB star Chris Brown ameomba radhi kwa vitisho hivyo alivyovitoa kupitia “Twitter”.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram & Twitter, Chriss ameonesha kujutia kauli yake aliyoitoa huku akimtaka Beckford wamelize bifu yao.

“No more drama, people are really starting to make this sh*t an issue. I can be a real one and say I was wrong for even pressing an issue” aliandika Breezy.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging