Google PlusRSS FeedEmail

CHRISTINA MILAN & LIL WAYNE DAM DAM



Mwanamuziki wa mtindo wa RnB Christina Milan amethibitisha uvumi wa siku nyingi kwamba ana uhusiano na msanii wa muziki wa Rap LilWayne ambaye pia anamwakilisha katika kampuni yake ya Young Money Entertainment.

Wawili hao walionekana pamoja katika pambano  la karne kati ya Bingwa Floyd Mayweather na Manny Paquiao mjini Las Vegas.

Katika mahojiano na mtandao wa Et online, Milian alisema kuwa Wayne ni mtu muhimu sana kwake.

''Ni mtu muhimu sana kwangu,ninaishi naye huru na sote tunafurahia'',.alisema.''Hakuna kitu kizuri kama kuwa na hisia na mtu hatua ambayo inakufanya kutojali kitu ambacho watu wengine wanasema,ni hisia ambazo watu uhisi kwa kweli'',.

Na alipoulizwa kuhusu kuolewa na Lil Wayne alisema:''huwezi kujua,ninamaanisha kwamba penzi huchochea vitu vizuri kama hivyo'', alisema Milian aliyejawa na tabasamu.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging