Mwanamitindo Cassie Ventura akiwa ameongozana na mwanamuziki P Diddy wakiingia katika ukumbi wa MGM Grande Arena kufuatilia pambano la Mayweather na Pacman. P Diddy ni rafiki wa karibu wa bondia Floyd Mayweather.
Mwanamuziki Beyonce Knowles akiwa na mumewe Jay Z wakifuatilia mpambano huo uliomalizika kwa Mmarekani Floyd Mayweather kutangazwa mshindi dhidi ya Pacman.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.