Google PlusRSS FeedEmail

HICHI KITUKO CHA MWAKA, MCHUNGAJI AWATAKA WAUMINI KUVUA NGUOMchungaji kiongozi wa kanisa la “End time disciples ministries” lililopo Gauteng Afrika Kusini, Prophet Panuel ameushitua ulimwengu baada ya kuwataka waumini wa kanisa hilo kuvua nguo na kugalagala ardhini kwa madai kuwa watapokea nguvu ya mungu.

Picha ambazo zimewekwa na mtandao wa kanisa hilo wa Facebook, umemuonesha mchungaji huyo akitembea juu ya miili isiyo na nguo ya waumini hao huku akifanya maombi.

Kanisa hilo limeendelea kushare picha hizo kwenye mtandao ambazo nyingi zimepigwa usiku, zimemuonyesha panuel muda mwingine akiwakalia na hata kuwapiga mateke waumini hao.

“Total demonstration of god power, no pain in them meaning god is in with us” wameandika End times disciples kwenye kurasa zao za kijamii.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging