Google PlusRSS FeedEmail

HII NDIO NYIMBO ZILIZOPO KATIKA ALBAMU MPYA YA NOTORIOUS B.I.GJuzi ilikuwa siku ya kuzaliwa ya the Hip Hop Legendary, marehemu Notorious B.I.G

Timu ya Djs wakongwe waliowahi kufanya kazi na B.I.G, team Demo wametoa album mpya yenye mikwaju 15 kwa ajili ya kuonyesha mchango wao na kusaidia maendeleo ya familia ya B.I.G album hiyo inapatikana mtandaoni kwa jina Notorious Hayes Team Demo.

Tazama orodha nzima ya pini hizo hapo chini,

01. Another Album
02. Smell the Indo
03. Long Kiss
04. Dangerous MC’s
05. Gotta Go
06. Road to Riches
07. Dreams
08. Brooklyn Hip Hop
09. We Don’t Love These Hoes
10. Tonight
11. Biggie
12. Temptation
13. Young G’z Perspective
14. Eargasm
15. Dusted

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging