Google PlusRSS FeedEmail

HONGERA AUNT EZEKIEL KWA KUPATA MTOTO WA KIKE

MSANII wa filamu nchini Aunt Ezekiel ajifungua mtoto wa kike siku ya Alhamis na kumpa jina la Cookie, mtoto huyo ambaye baba yake ni mcheza show wa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond aitwaye Mose Iyobo.

Aunt ameweka wazi juu ya kupata mtoto huyo katika ukurasa wake wa Instagram na kueleza hisia zake mara baada ya kujifungua salamaa.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging