Google PlusRSS FeedEmail

JA RULE KUJITIKA NDANI YA SIASA????


Rapa mwenye sauti nzito Jeffrey Atkins, maarufu kama Ja Rule ameweka wazi muelekeo wa kura yake kwenye uchaguzi ujao wa rais nchini Marekani na kusema atampigia Bi Hillary Clinton.

Mwandishi Melissa Francis wa kipindi cha Tv cha Fox Business’s Money kutoka nchini Marekani, alimuuliza Ja Rure ni nani angependa awe Rais wa Marekani 2016?.

” Ningependa sana Hillary Clinton najua mambo yanachanganya sababu hata Jeb ni mgombea mzuri, lakini nitampigia kura Clinton”, alijibu Ja Rule.

Bi Clinton ni Mwanamke pekee alijitokeza kugombea nafasi ya urais wa nchini Marekani kwenye uchaguz mkuu utakao fanyika mwakani.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging