Google PlusRSS FeedEmail

JE WAMERUDIANA? WAMEANZA KUONEKANA WAKIWA PAMOJA

                 

Wanamuziki  Chris Brown na Rihanna wameanza kuonekana pamoja sehemu tofauti za starehe.

Wawili hawa wameonekana kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya rapa Travi$ Scott ya miaka 23 pamoja na mastaa wengine kama Kanye West na Die Antwoord.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging