Google PlusRSS FeedEmail

KAMPUNI YA SAIPRIMA INAKIMBIZA NA FILAMU YA NEVER COME TWICE

KAMPUNI ya Saiprima Distributors ya jijini Dar es Salaam inayosambaza filamu za Kibongo inakimbiza na filamu kali nay a kusisimua ya Never Come twice inayosambazwa na kampuni hiyo mahiri katika usambazaji wa filamu hapa Bongo.

Msemaji wa kampuni hiyo Saiprima amesema kuwa filamu Never come Twice ni nzuri sana kutokana na ubora wa hadithi yake ilivyoandikwa kitaalamu na kurekodiwa vema na inapatikana nchi nzima katika maduka yanayosambaza sinema za Kibongo.

Sinema ya Never come twice imewashirikisha wasanii wakali katika tasnia ya filamu kama Penina, Vaileth Lazaro, Mohamed Funga funga ‘Mzee Jengua’, Grace Mapunda ‘Mama Kawele’ na wasanii wengine wakali wanaofanya vizuri katika tasnia

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging