Google PlusRSS FeedEmail

KANYE WEST HAKUFANYA MAANDALIZI YA SHOW YAKE
Dk Kanye West amefunguka na kusema kwamba show yake aliyoifanya usiku wa tuzo za chati za Billboard Marekani hakuwa amejiandaa.

“Pengine ni uzoefu na ujuzi wangu wa kufanya show ndio umesababisha nifanye vizuri kwenye show ile”, alisema Kanye.

Kwa mijibu wa mtu wake wa karibu, kabla ya tukio hilo Kanye alikiwa busy sana na mambo yake hivyo na kukosa haata kufanya mazoezi ya maandalizi.

Hata hivyo Kanye alipata shangwe vya kutosha toka kwa wahudhuriaji wa sherehe hizo licha ya watu waliomuita Kanye apande stejini ambao ni wadogo zake Kim Kardashian kuzomewa.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging