Google PlusRSS FeedEmail

MASHABIKI WAANZA NA SHETTAThe shikorobo master Shetta “baba Qailah”, ameionja joto ya jiwe baada ya kushambuliwa vikali na followers wake kupitia mtandao wa Instagram. Mwana Bongo flava huyo ali “post” picha yake hiyo hapo juu, akiwa bafuni na kuweka caption “Shetta Shettani” na mashambulizi yakawa hivi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging