Google PlusRSS FeedEmail

MSANII ATAKAYEJITOA KWENYE TUZO SERIKALI KUMFUNGIA KUFANYA MUZIKI NCHINI-BASATA


Baraza la Sanaa la Taifa kupitia kwa mratibu wa Tuzo za KTMA ndugu Kwirijira Maregesi amezungumzia vitendo vya baadhi ya wasanii kujitoa kwenye tuzo hizo na kushutumu waandaaji wa Tuzo hizi ambao ni serikali kupitia baraza la sanaa Taifa (Basata) akitolea mfano tukio la hivi karibuni pale Kiongozi ya bendi ya Fm Academia "Nyoshi El Sadat" alipoongea na vyombo vya habari na kuishutumu Basata eti kuna upendeleo kwenye mchakato wa Utoaji wa tuzo, sasa basata wamesema kuwa Wamemtaka Msanii huyo kuthibitisha madai yake kwa maandishi na vielelezo vingine.
Je kwa wasanii watakaojitoa kwenye Tuzo hizi, ndugu Maregesi amesema wanatakiwa kuliandikia Baraza barua ya kujitoa lakini sambamba na kujitoa wajue kwamba moja kwa moja watakua hawana kibali cha kufanya kazi za muziki Nchini.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging