Google PlusRSS FeedEmail

NICKI MINAJ NA MEEK MILL HAWANA MPANGO WA KUFUNGA NDOA

Couples zinazoendelea kuwagumzo ulimwenguni ambao wanamuziki toka Marekani, marapa Meek Mill na Mdada Nicki Minaj wameweka wazi mipango yao kuhusu uhusiano wao na kusema kwamba hawawezi kuoana kwa sasa.

Robert Rahmeek Williams a/k/a Meek Mill amefunguka hayo wakati akipiga stori na gazeti la Fader la huko Marekani.

Meek alisema, “Ni kweli tumevisha pete, na kweli tunapendana lakini bado tunasomana tabia na penzi letu kabla hatuajaoana ili tusije haribu mambo hapo baadae”.

Meek Mill na Nicki Minaj walianza uhusiano wao mwaka jana ambapo uhusiano wao huo ulizua gumzo kubwa kwamba huwenda wawili hao wasidumu kutokana tabia zao.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging