Google PlusRSS FeedEmail

PRINCE WILLIAM APATA MTOTO MWINGINE


Mke wa mrithi wa ufalme wa Uingereza Prince William amejifungua mtoto wa kike.

Habari iliyotumwa kupitia kwa mtandao wa Twitter kutoka kwa ikulu ya Kensington ilisema kuwa mtoto huyo alizaliwa akiwa salama kalba ya saa mbili unusu saa za uingereza.

Mtoto huyo aliye na uzito wa kilo tatu nukta saba alizaliwa muda mfupi baada ya kuwasili kwenye hospitali moja mjini London.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging