Google PlusRSS FeedEmail

RAPA COKE KUZIKWA LEOBaada ya wiki kadhaa za maombolezo, salamu za rambirambi, na ripoti ya polisi kukamilika hatimae rapper kutoka Coke boys Chinx Drugs, anatarajiwa kuzikwa leo

Familia ya Chinx imetoa ratiba hiyo ya mazishi ya mpendwa wao, kuwa ni jumanne ya tarehe 26 huko The Greater Allen Cathedral New york.

Funeral: Tuesday May 26th 2015 12 Noon, The Greater Allen A.M.E Cathedral of New York 110-31 Merrick Blvd, Jamaica N.Y. 11433

Katika line nyingine familia imeomba mchango wa kifedha kufanikisha mazishi hayo, na taarifa ni kwamba hakuna rapper hata mmoja aliyeonyesha msaada kwa familia ya Chinx mpaka sasa.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging