Google PlusRSS FeedEmail

SNURA ATAMANI KUACHA MUZIKI?????????

Ukipitia ukurasa wa Instagram wa mmiliki wa Hit single “Hawashi”, Snura Mushi leo asubuhi ameandika waraka mzito akimuomba mungu lakini kubwa zaidi ni kujutia ambacho anakifanya na kwa mujibu wake anamkosea mungu. Swali ni kwamba anatamani kuacha muziki??

“Najua nakukosea sana Mungu wangu kwa niyatendayo, msamaha mkubwa ni kukurudia wewe mungu wangu nikweli nalijua hilo natamani kubadilika hata sasa niwewe pekee unaeujua moyo wangu na matendo yangu hakuna mwingine,  lakini njaa, njaa iliyopo tumboni mwangu na kwa wenzangu wote wanaoutegemea mkono wangu wakubwa na watoto, tatizo pakupata usingizi, usingizi wangu na wenzangu wanao tegemea mkono wangu….bila elimu utaishi kwa mashaka sana iwe elimu Akhera au elimu dunia nayo bila pesa huwezi kuipata wapo wanaotegemea mkono wangu kupata elimu hizo……umetufanya tuwe na afya na umetufanya pia tuumwe wanapoumwa na ninapoumwa nijuhudi zangu kuhakikisha wanarudi kwenye afya…….nimengi yanayonitegemea mola wangu ……natamani unifanye niishi bila kukukosea…… nitimizie ndoto zangu niweze kuhimili majukumu yangu…..hakuna linaloshindikana kwako ……wapo wengi sana wanaoweza kutimiza ndoto zangu waongoze, waamrishe wanitimizie ndoto zangu kwa haraka mbona juhudi ninayo na najituma sana wafanye waniangalie zaidi ya wanavyoniangalia nitafanikiwa …..nukushukuru pia kwa hiki ulichonipa ……..nakushukuru pia kwa rizki unipayo kila siku Allhamdulillah………umesema niombeni nntakupeni nami sitochoka kukuomba wewe ndio kimbilio langu………SIKU ZOTE NAOMBAGA KIMOYO MOYO LEO NIMEAMUA KUOMBA KWA SAUTI MAJIRANI ZANGU MSIKIE……. nawapenda sana nawatakia asubuhi njema…….. @tsnura

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging