ALLY KIBA NDANI YA COKE STUDIO
Star na mmiliki wa hit song “Chekecha” Ally kiba, ameungana na wakali kama Ben Poul na Nah real katika Coke studio mwaka huu Season 3.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kiba ameshare picha kadhaa alizopiga huko.
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG