Google PlusRSS FeedEmail

CHRIS BROWN ASHEREHEKEA SIKU YA BABA DUNIANI KWA MTINDO HUU

Jana ilikuwa ni siku ya baba duniani, mastar kibao wameitumia siku hii kuwaandikia maneno mazuri wazazi wao wapo pia mastar wakiume wenye familia waliitumia siku hii kusheherekea na watoto wao.

Chris Brown yeye aliitumia siku ya jana kumpa bata la nguvu binti yake Royalty, star huyo ameonekana kuwa na mapenzi ya dhati kwa binti yake siku hivi karibuni. Tazama picha hapo chini wakienjoy siku hiyo ambayo pia ilikuwa siku ya kuzaliwa ya binti huyo.This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging