Google PlusRSS FeedEmail

KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST WATARAJIA KUPATA MTOTO WA PILI

Baada ya maneno kadhaa kuenea kitaani kwamba, mke wa producer na rapper mwenye vituko Kanye West kuwa ni mjamzito, hatimae Kim Kardashian auanika ukweli.

Kim alifunguka kupitia promo (tangazo) la kipindi chake cha Keeping up with Kardashian, kuwa hakuwa sawa kiafya na alipokwenda kupima damu daktari alimjuza kwamba ni mjamzito.

“I just got the blood test back, and I am pregnant!” Kim alimwambia Khole.

Miezi ya hivi karibuni familia hiyo inayoongozwa na Doctor Kanye, imekuwa katika hedlines kadhaa huku kubwa likiwa lile la ndoa yao kufungwa mara ya pili.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging