Google PlusRSS FeedEmail

NICKI MINAJ NA MEEK MILL WAACHANA???Wiki kadhaa zilizopita kuliibuka rumors kwamba Meek Mill na female rapa Nicki Minaj kwamba wawili hao wamevunja uhusiano wao wa kimapenzi.

Lakini waswahili husema si kila lisemwalo linaukweli ndani yake. Hii imedhihirika wazi kutoka kwa wawili hao na kuonyesha kwamba still wanabang na kurock pamoja katika penzi lao.

Ndani ya show ya Hot 97’s Summer Jam, june 8 wakiwa jukwaani Nicki, Meek na Future walisimamisha muziki kisha Nick kuwapa hi mashabiki walifurika ndani ya viwanja vya tamasha hilo.

Wakati anashuka jukwaani Nicki alitamka kwa sauti ya juu maneno ya upendo kwa boyfriend wake Meek. Nicki alisema “I Love You Meek”, kisha Meek naye alijibu “I love you too Baby…”.

Kitendo hicho kiliibua shwangwe kubwa huku Meek akizidi kuwapagawisha mashabiki na kusema kwamba wawili hao bado wapo pamoja.

Bofya hii link hapa chini, uone kipande cha video Nicki Minaj na Meek Mill wakidhihirisha upendo wao mbele ya mashabiki wao.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging