Google PlusRSS FeedEmail

RAPPER RABBIT AUZA NAKALA NYINGI ZA ALBAMU YAKE

Moja kati ya wanamuziki wa hip hop wa kutumainiwa Kenya ni Rabbit a.k.a Kaka Sungura, albam yake “the legend of kaka” ndio albam iliyouza nakala nyingi zaidi nchini humo kuliko albam ya msanii yeyote Yule.

Rabbit anatarajia kuachia “mkwaju mpya” aliyomshirikisha mwanamziki wa Zambia Roberto.
Katika kuonyesha kutumia fursa aliyoipata kupitia “Coke studio”, rapper huyo anatarajia kufanya colabo na mkali wa RNB kutoka Nigeria 2face Idibia.

Kupitia ukurasa wake wa IG, kaka Sungura ameweka picha yake akiwa na mkali huyo na kuipa “caption” iliyoashiria kuna mkwaju utakaoionganisha Kenya na Nigeria.

“Ni kuvuka boda” ameandika rapper huyo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging