Google PlusRSS FeedEmail

RAY C ANYIWA DAWA "MNATAKA NIRUDI TENA KUVUTA UNGA"

Kupitia ukurasa wake wa Instagram star wa muziki Ray c, amepost video akilia kwa uchungu baada ya kutopewa dawa za Methadone.

Ray c ambaye amekuwa akitumia dawa hizo kwa miaka miwili ili kutibu uathirika wa madawa ya kulevya.

“Mpaka sasa nipo hapa kitengo cha madawa na sijapewa dawa, alafu niliweka ile post ya kwanza sasa wanakuwa kama wananikomoa, sasa nikikosa dawa wanataka nirudi kuvuta unga?” amesikika Ray c.

Katika videos nyingine alizoweka mwanadada huyo, amedai viungo vinamuuma kwa ajili ya kukosa dawa hizo bila kujua utatuzi wa swala hilo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging