Google PlusRSS FeedEmail

ROSE NDAUKA AUNGANA NA DCB KUJA NA UJIO MPYA WA FILAMU

DCB Commercial Bank, ikishirikiana na kampuni ya Cosnent Group imeandaa Filamu maalumu ya Kiswahili inayoitwa Hamu ya mafanikio inayoelimisha na kuhamasisha wateja, wadau na Umma kwa Ujumla juu ya Umuhimu na faida za kufanya shughuli za kibenki na DCB Commercial Bank ambazo zinabadili maisha ya mhusika.

Filamu hiyo itazinduliwa siku ya Jumamosi 25 June mwaka huu huku mgeni Rasmi kuwa ni Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin William Mkapa katika ukumbi wa Cinema wa Dar Free Zone kuanzia saa 12 jioni hadi saa 4 usiku, ambapo wteja wa DCB na wadau mbalimbali watakuwepo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging