Google PlusRSS FeedEmail

WASANII WATAKAOBURUDHISHA BET WAONGEZEKA

Baada ya BET kuwatangaza chriss brown na kendric lamar kuwa watawasha kideo kwenye stage ya BET awards, leo BET wamewatangaza wakali wengine ambao watasanukia “stage” this year.

Mtukutu wa Fhiladefia Meek Mill na RNB star Neyo, wametangazwa na BET kuwa watapaform siku ya tuzo za BET music awards.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging