Mwigizaji wa mkongwe kutoka Nigeria Ramsey Nouah,amejivunia kuwa yeye ni mmoja wa watu waliopaisha Tasnia ya Filamu Barani Africa na Duniani kwa Ujumla.
Alisikika akisema anaposimama popote,anasifika kwa kazi nzuri aliyoifanya kufanya Tasnia ya filamu barani Africa na Duniani kwa ujumla.