Google PlusRSS FeedEmail

MTAMBUE DWAYNE JOHNSON

                            
Dwayne Johnson maarufu kama The Rock ni mwigizaji, movie Producer na mchezaji mieleka kutoka Marekani
aliejitengenezea jina kubwa kwenye mieleka na kufanya apate shavu kubwa kwenye movie za action Hollywood, Marekani.

The Rock alichukuwa time na kufanya interview na gazeti la Marekani Esquire na kuongelea mambo mengi ikiwemo sababu zilizomfanya aingie kwenye tasnia ya uwigizaji pamoja na mafanikio yake binafsi. The Rock alikuwa na haya ya kusema:

Kuhama kwenye mieleka kwenda kwenye uwigizaji:“Baada ya kufanikiwa kwenye mieleka, nilihamasika kujabiru uwigizaji wa movie za action, na nimefika hapa nilipo kwa kutumia nidhamu niliojinfunza kwenye mieleka, kujenga ukaribu na watu kwenye industry, na kujiunga na madarasa ya kuigiza”.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging