Google PlusRSS FeedEmail

NYUKA FILM AWARD ZAKARIBIA

             

TUZO kubwa zijulikanazo kwa jina la NYUKA FILM AWARDS zipo tayari kwa ajili ya kutolewa kwa wanatasnia ya filamu hivi karibuni mwezi huu wa saba mwisho, ni tuzo zilizolenga kutambua mchango wa filamu zinazotumia Lugha ya Kiswahili katika kukitangaza na kuunganisha mataifa.

Filamu iliyorekodiwa na kutumia Lugha ya Kiswahili inahusika kushirika na kuchukua tuzo zilizoandaliwa zaidi ya miaka mitatu kuanzia kufanya utafiti katika kujenga tuzo zenye hadhi na heshima Barani Afrika, sehemu kubwa ambayo inaifanya Lugha hii kuwa ni kiungo muhimu katika mawasiliano anasema mratibu wa tuzo hizo.

“NYUKA FILM AWARD. ni tuzo za kimataifa zinategemewa kufanyika jijini Dar es salaam Tanzania mwishoni mwa mwezi wa Saba mwaka 2015.
Tumeanza kupokea kazi kuanzia tarehe 4/04/2015 na Mwisho ulikuwa 30/06/2015 kwa sasa unaweza kutembelea kwenye tovuti ya www.nyuka.com nakupata taratibu nyengine,” anasema Mfate mratibu wa tuzo hizo.

NYUKA FILM AWARDS CATEGORIES:-

1. BEST ACTRESS IN SUPPORTING ROLE
2. BEST ACTOR IN SUPPORTING ROLE
3. BEST ACTRESS IN LEADING ROLE
4. BEST ACTOR IN LEADING ROLE
5.BEST MALE COMEDIAN.
6. BEST UPCOMING ACTOR
7. BEST UPCOMIN ACTRESS
8. BEST FILM DIRECTOR
9.BEST FILM EDIATOR
10.BEST CINEMATOGRAPHER
11. BEST MAKEUP ARTIST
12.BEST VISUAL EFFECTS
13.BEST ADAPTED SCREENPLAY
14.BEST ORIGINAL SCREENPLAY
15. BEST FILM OF THE YEAR
16. MOST POPULAR ACTOR
17. MOST POPULAR ACTRESS
18. LIFE TIME ACHIEVEMENTS AWARDS
19. BEST FEMALE COMEDIAN
2O. BEST ORIGINAL SONG


This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging