Google PlusRSS FeedEmail

RAPA KIDD ATUPWA RUMANDE?

Upepo mbaya unazidi kuwakumba marapa wa nchi ya Marekani kwani kwa wiki tatu mfululuzo kutokana na kukamatwa kwa baadhi ya marapa wenzao na kushia rumande kutokana na kesi mbalimbali zinazo wakabili.

June 26 Rapa DMX alitupwa selo baada ya kushindwa kutoa fedha za kujikwimu kwa mmoja kati ya watoto wake, huku rapa Rick Ross akilazimika kulipa fidia kiasi cha dola milioni 2 ili asikumbane na rungu la kutupwa jela baada ya kufanya tukio la uhalifu la utekaji nyara.

Sasa habari tulizozipata kutoka mtanzao wa revolt.tv umeandika Rapa Kidd Kidd kutoka kundi la G-Unit amekamatwa usiku wa june 30 kutokana na makosa kadhaa yanayomkabili likiwemo la kumjeruhi mwanamke kwenye ugomvi wa kifamilia.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging