Google PlusRSS FeedEmail

RIHANNA ATAJWA KUWA NDIYE MSANII ANAYEUZA ZAIDI MTANDAONI

Record Industry Association of America (RIAA), wamemtaja mkali wa muziki duniani anayetokea Barbados, Robin Fent “Rihanna” kama ndiye mwanamuziki anayeuza zaidi mtandaoni wa muda wote (all time).

Rihanna ametajwa kufanya vizuri zaidi kupitia mitandao kama Itunes, ambao ulianzishwa mwaka 2003 na kwa mujibu wa utafiti huo Rihanna anaongoza kwa kuuza nyimbo zake zaidi kuliko msanii mwingine yeyote Yule.

Taarifa zinasanua kuwa mpaka sasa Rih Rih, ameuza “mikwaju” mara milioni 100 na upande wa Album ni milioni 7.5.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging