Google PlusRSS FeedEmail

AVRIL AKANUSHA KUGEUKIA MUZIKI WA GOSPELDiva wa ‘music’ anayeiwakilisha vyema 254 Kenya Avril, amekanusha vikali taarifa zinazosambaa kuwa ameacha kuimba mziki wa ‘kidunia’ na kugeukia mziki wa Injiri.

Wakitoa ufafanuzi mbele ya waandishi wa habari, ‘label’ inayomsimamia mrembo huyo ya Kaka Empire imedai uvumi huo umekuja baada ya kuonekana Clip inayomuonyesha Avril ndani ya Kanisa akiimba.

Taarifa inasema kuwa, mualiko wa kuimba ndani ya Kanisa hilo aliupata kutoka kwa nguli wa injiri ‘Bongo’ Christina Shusho na hiyo aimaanishi kwamba rasmi amejitosa kuimba ‘Gospel’.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging