Google PlusRSS FeedEmail

BIFU LA 50 CENT LAIBUKA TENA



Last week TMZ walitusanua kuwa hakuna Bifu tena kati ya 50 Cents na rapper wa Coke Boys French Montana, taarifa ikufikie kuwa hakuna ukweli katika hili na inawezekana bifu hii ikawa kubwa zaidi kuliko awali.

Kisanga cha rappers hawa kilianza miaka 3 iliyopita, baada ya Cents kumchana Montana kwamba hawezi kuimba peke yake.

Ni kama French analipiza kisasi, baada ya kuonekana hadharani akikiponda kinywaji cha 5o kiitwacho Effen Vodka na kukipigia chapuo kile cha Pdiddy Ciroc.

video inasambaa ikimuonyesha Montana akitupa Effen Vodka kwenye pipa la takataka.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging