Google PlusRSS FeedEmail

COMMON AUMIZWI NA WIVU

Mwanahiphop mwenye heshima kubwa nchini Marekani Common amefunguka kwamba haoni wivu wowote kuhusu taarifa zilizozagaa aliyekuwa mpenzi wake wa zaman Serena Williams kudate na rapa Drake.

Common amemwambia ripota was tori pendwa mtandao wa TMZ ‘Mapenzi yetu na Serna yalishaisha zamani, na sasa hivi amekuwa rafiki yangu. Nafurahi kuona akiwa na furaha na kama uhusiano wake na Drake anajisikia furaha basin i vizuri”.

Drake na Serena Williams wameripotiwa kuwa sehemu mbalimbali za starehe kitendo kinachoamshahisia kwa mashabiki kwamba wawili hao huenda ikawa wanadate.

Mpaka sasa si Drake wala Serena aliyeongelea ukaribu wao huo uliozuka hivi karibuni ni wa aina gani.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging