Google PlusRSS FeedEmail

HASHIM SAID ''IGWE'' AITEMA MASHAUZI

                                              

Aliyekuwa mwimbaji na kiongozi wa Mashauzi Classic Hashim Sais,amesema kuondoka kwake katika bendi hiyo,ni kutaka kubadilisha kazi ambayo inahitaji muda mwingi zaidi.

''Watu wameanza kuniwekea maneno kinywani juu ua kuondoka kwangu Mashauzi..ninaomba wanisikilize mimi sijawai kugombana na mkurugenzi wangu,Isha Mashauzi na mnielewe kuwa nimeamua kupumzika.. ''

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging