Google PlusRSS FeedEmail

JAMES PACKER & MARIAH CAREY WATARAJIA MTOTO

                              

Kwa mijibu wa Mtandao ujulikanao kama  New Idea umeripoti kuwa Mwanamuziki Mariah Carey na mpenzi wake wa sasa ambaye ni  Tajiri  James Packer   wanategemea kupata mtoto tangu walipokuwa pamoja..Mariah Carey ambaye tayari ana mapacha ambao alizaa na Nick Cannon Mariah Carey bado yuko kwenye ndoa na Nick Cannon baada ya kutengana bila talaka mwaka 2014.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging