Google PlusRSS FeedEmail

MTOTO MARVIN GAYE SINA MPANGO WA KWENDA MAHAKAMANI

Wakili wa mwana wa Marvin Gaye amekanusha madai kwamba anajiandaa kuwashtaki watengezaji wa filamu mpya nchini Marekani Empire.

Mtandao wa TMZ uliripoti kwamba Marvin Gaye wa tatu alitarajiwa kuchukua sheria dhidi ya Empire kwa madai kwamba ndiye aliyekuwa na wazo la filamu hiyo miaka mitano iliopita.

''Mteja wangu hajashtaki mtu yeyote kuhusu msururu wa filamu ya Empire,alisema Paul Phillips alipokuwa akizungumza na Rolling Stone.

''Kwa sasa hivi ,maslahi ya Marvin na juhudi zake zinalenga kesi ya Bluured Lines hadi itakapokamilika.Tutaizungumzia ripoti ya TMZ na swala la Empire katika wakati ufaao''.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging