Google PlusRSS FeedEmail

NICKI MINAJ KUFUNGUA SHOW TUZO ZA MTVSiku ya jumapili agust 30 ni kilele cha tuzo za MTV kwa wanamuziki wa Marekani na tayari wasanii watakao panda siku hiyo wameshajulikana.

Pamoja na Nicki Minaji kuponda uteuzi wa wasanii ndani ya tuzo hizo mwaka huu, lakini uongozi wa MTV umempa sahvu Niki Monaji nay eye ndiye msanii atakaeanza kufanya show siku hiyo.

Nicki Minaj anaungana na baadhi ya wasanii wenzake waliotajwa kufanya onyesho siku hiyo ambao ni Justin Bieber, Mackelmore, Ryan Lewis, Pharrell Williams, Tori Kelly ,A$AP Rocky, Twenty One Pilots, Demi Lovato naNick Jonas.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging